Success, we'll get back to you
Back to news

MKURUGENZI WA NIC INSURANCE ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

SHARE

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Ndugu Kaimu Mkeyenge ametembelea banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)


Ndugu Kaimu Mkeyenge ametembelea mabanda ya taasisi na kampuni mbalimbali wa lengo la kufahamu huduma na bishaa wanazozitoa, pia amepata nafasi ya kutoa elimu kidogo kuhusu umuhimu wa kuwa na bima.


Karibu kwenye banda la NIC Insurance tunaendelea kutoa elimu na huduma za bima kwenye maonesho ya ya 48 ya biashara ya kimataifa,


#nicinsurance #Sisindiyobima #superbrands #isocertified900120155