Success, we'll get back to you
Back to news

Mafunzo ya kuimarisha utendaji wa watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)

SHARE

Menejimenti ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) inafanya mabadiliko ya utamaduni (culture transformation) kwa watumishi wote wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji wa Shirika katika biashara ya Bima.

Mtaalamu Mwelekezi katika programu hiyo ni Sub Sahara Institute na programu hizi ni endelevu.