Success, we'll get back to you
Back to news

Waziri Mkuu aipongeza NIC Insurance

SHARE

Hakika NIC Insurance Kitivo cha huduma bora za Bima nchini. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea banda la NIC Insurance wakati wa Kongamano la Vijana lilifanyika Dodoma na ameipongeza kwa kuwepo kila sehemu kwa lengo la kutoa Elimu ya Bima kwa Watanzania bila kubagua umri Wala kipato cha mtu na kuitaka NIC kuendelea na kutoa Elimu pamoja na Huduma bora nchini kulia ni Meneja Kanda ya Kati Bw. Alex Suzuguye