Wafanyakazi wa NIC Insurance wameshiriki katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani wakiungana na wafanyakazi wengine wa taasisi na umma na binafsi ambapo kitaifa yamefanyika Jijini Arusha.
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango.