Nyakati zote tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunatoa huduma bora za BIMA kwa watanzania kwa kushirikiana na serikali, kwenye maonesho ya kimataifa ya wakulima Nanenane 2023 tumefanikiwa kutoa elimu zaidi juu ya umuhimu wa kuwa na BIMA ya kilimo kwa wakulima. #NICKiganjani #nicinsurance #superbrand #iso900012015certification #sisindiyobima