Menejimenti ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) inafanya mabadiliko ya utamaduni (culture transformation) kwa watumishi wote wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).
Mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji wa Shirika katika biashara ya Bima.
Mtaalamu Mwelekezi katika programu hiyo ni Sub Sahara Institute na programu hizi ni endelevu.