Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (kulia), akimkabidhi tuzo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Bw. Kaimu Mkeyenge, kwa kutambua mchango wa shirika hilo kudhamini Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam, wakati wa kilele cha Maonesho hayo Julai 13, 2024.