Success, we'll get back to you
Back to news

NIC INSURANCE YAKABIDHI TUZO YA KABLU BORA KWENYE TUZO ZA WANAMICHEZO (BMT AWARD)

SHARE

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance (kushoto), akikabidhi tuzo raisi wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said baada ya kushinda kwenye kipendele cha timu bora ya mwaka kwa ngazi ya klabu kwa upande wa wanaume kwenye tuzo za WANAMICHEZO zilizoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT)


Pia NIC Insurance ilikuwa mdhamini wa tuzo hizo lengo ni kuendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali kufukisha elimu na huduma za BIMA tunazozitoa kwa makundi mbalimbali wakiwemo wanamichezo kupitia huduma zetu za BIMA za Maisha na BIMA za ajali (Personal Accident)